kila mtuiaji wa pc anakuwa ameinstall software ktk
kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji
ya matumizi yake,
Mtu anayeshughulika na mambo ya
video production na photos atatumia software tofauti na mtu kama
accountant, architecture au Djs nk.
Ukiachilia mbali zile software muhimu
kwa kazi zako kuna software nyingine
ambazo in general ni muhimu kwa
usalama,urahisishaji,urekebishaji na usafishaji wa pc yako kuhakikisha
inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi
hasa kama unakuwa connected na
internet Anti-Virus Software
Hii ndio software ya kwanza kabisa kufikiria kuiweka baada ya kuistall
windows yako. kuna virus wengi sana
wametengenezwa kushambulia pc
yako na antvirus ndio njia pekee ya
kukabiliana na hili,
So ni uchaguzi wako utapendelea ipi Windows Maintenance These are programs that keep your
Windows installation into a shape. As
you use your computer day by day its performance may drop because of various issues that are generated with
everyday usage.
Hapa zinaongelewa software zitakazo
ifanya pc yako ifanye kazi yake kama
inavyotakiwa Ccleaner,
registry easy,
Registry Machenics nk kwaajili ya kumeintain windows installation na
kurepair registry SpeedUpMyPc kwa kuifanya iwe faster zaidi Revo Uninstaller au unistaller
zingine: inashauriwa kwa ku uninstall vitu bila kuacha mabaki ya registry ktk
pc EASEUS patrition master:For creating
and manage disk patrition in windows
sysytem DOWNLOADER
Mara nyingi watumiaji wa pc
wanaoingia online hupendelea
kudownload vitu mbali mbali kama
softwres, miziki, movies nk, hapa
kunakuwa kunahitajika downloader itakayo fanya kazi hii kwa ufanisi zaidi
na kwaharaka kuliko downloader za
browser. Internet Download Manager: Hii inaaminika na wengi kwa ufanisi
wake pia inao uwezo wa kudownload
youtube videos, pia zipo Free Download Manager,
Orbit nk Archiving Software Katika dunia ya IT kwa sasa software
hii ni muhimu sana kuwa nayo
kwasababu vitu vingi sana
vinavyokuwa katika internet vya
kudownload vina kuwa katika mfumo
wa compressed to archives, inahitajika software maalumu kuweza
kufungua mafaili haya, so nimuhimu
kuwa na software mojawapo ya hizi
kufanya kazi hiyo. WinRAR,
7zip,
Power archiver nk MALTMEDIA SOFTWARE
Kwa media player maranyingi wengi
wetu ni wapenzi wa kusikiliza muziki
lakini Windows media player
haisapoti baadhi ya format za muziki,
unaweza kudownload muziki au mfano youtube videos hizi hazipo
sapported na windows meadia player
hapa unahitaji software itakayo weza
kuplay hizo format au kuzi convert
zinazogoma kwa windows player.
VCL: Hii imeshikilia soko na ni ya kuaminika kwa kuplay format za aina
tofau tofauti
Umedownload mafaili yaliyo katika
mfumo(iso image) ambao unabidi
utumie software kuweza kuhifadhi
katika cd/dvd au umeazima cd/dvd unataka kuicopy fasta, unahitaji
software hizi
Ashampoo burning studio
Nero nk PDF READER
Kuna mafaili ambayo yapo katika
mfumo wa PDF uwezi kuya fungua
kama hauna software ya kufungulia
mafaili hayo
Adobe reader FoxitPhantom nk TORRENT CLIENT
Asilimia kubwa ya software nilizo
zitaja ni za kununua, lipo kimbilio la
walala hoi unakwenda ktk torrents
site unatafuta software utakayo bure
ikiwa na keys au cracked. ila huwezi kuipakuwa hadi uwe na torrent client
installed in your pc.
Hapa sasa ndio umuhimu wa torrents
client unapo kuja, baadhi ya torrents
clients ni
Vuze Uttorent
Bittorrent nk Je nisoftware gani
nyingine unadhani ni muhimu
kuwepo katika kompyuta yako?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment